TOP 10 VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUNUNUA SMARTPHONE 2018

Mpenzi msomaji karibu tena katika brogg yangu inayokupa taarifa muhimu za technologia hapa TZ.   Kama unavojua ni kwamba sasa technologia imeshika nafasi za juu na watumiaji wengi, ili kutumia internet sasa inakubidi kuwa na computa au smartphone.
Image result for iphone 5sImage result for ipad
VITU VYA KUZINGATIA:-
  1. Mtengenezaji wa simu(kampuni)
  2. Operation system(Android vission angalau kuanzia 6-7.or IOS kwa simu za apple)
  3. Memory ya ndani(internal storage). Angalau ianzie 16gb
  4. RAM angalau kuanzia 1-3gb
  5. procesar 2GHz
  6. Camera kuanzia 8mpc
  7. Ukubwa kioo kuanzia 5.0 inch
  8. Uwezo wa betery kuanzia 1200mAh
  9. Network GSM/CDMA/HSPA/EVDO/LTE
ASNTE KWA KUSOMA MAKALA YANGU NAAMINI UMEPATA MWANGA KIDOGO

SOMO LIJALO:- SIMU BORA KWA MWAKA 2018


PIA TOA MAONI YAKO JUU YA KITU UNACHOTAKA NIKIFANYIE UFAFANUZI

Comments

popular post