Posts

post

TOP 10 VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUNUNUA SMARTPHONE 2018

Image
Mpenzi msomaji karibu tena katika brogg yangu inayokupa taarifa muhimu za technologia hapa TZ.   Kama unavojua ni kwamba sasa technologia imeshika nafasi za juu na watumiaji wengi, ili kutumia internet sasa inakubidi kuwa na computa au smartphone . VITU VYA KUZINGATIA:- Mtengenezaji wa simu( kampuni ) Operation system( Android vission angalau kuanzia 6-7.or IOS kwa simu za apple) Memory ya ndani( internal storage). Angalau ianzie 16gb RAM angalau kuanzia 1-3gb procesar 2GHz Camera kuanzia 8mpc Ukubwa kioo kuanzia 5.0 inch Uwezo wa betery kuanzia 1200mAh Network GSM/CDMA/HSPA/EVDO/LTE ASNTE KWA KUSOMA MAKALA YANGU NAAMINI UMEPATA MWANGA KIDOGO SOMO LIJALO: - SIMU BORA KWA MWAKA 2018 PIA TOA MAONI YAKO JUU YA KITU UNACHOTAKA NIKIFANYIE UFAFANUZI
Image
Hiii hapa ndio list ya matajiri tanzania  1 amesimama said salim backresa mmiliki wa kampuni ya azam inayo miliki viwanda mbalimbali vya vyakula hapa nchini na vituo vya television, boti kwenda zenji, bila kusahau timu ya mpira wa mguu ya azam fc inayofanya vizuri ktk vpl instagram

Shuklani

Nawapenda sana