Hiii hapa ndio list ya matajiri tanzania 1 amesimama said salim backresa mmiliki wa kampuni ya azam inayo miliki viwanda mbalimbali vya vyakula hapa nchini na vituo vya television, boti kwenda zenji, bila kusahau timu ya mpira wa mguu ya azam fc inayofanya vizuri ktk vpl instagram